Hebrews 11:29

Imani Ya Mashujaa Wengine Wa Israeli

29 aKwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu
Yaani Bahari ya Mafunjo.
kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.

Copyright information for SwhNEN