Hosea 1:4

4 aKisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Yezreeli,
Yezreeli maana yake Mungu hupanda.
kwa kuwa kitambo kidogo nitaiadhibu nyumba ya Yehu kwa ajili ya mauaji ya kule Yezreeli, nami nitaukomesha ufalme wa Israeli.
Copyright information for SwhNEN