Isaiah 19:18

18 aKatika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu.
Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).


Copyright information for SwhNEN