Isaiah 26:15

15 aUmeliongeza hilo taifa, Ee Bwana,
umeliongeza hilo taifa.
Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe,
umepanua mipaka yote ya nchi.
Copyright information for SwhNEN