Isaiah 29:4

4 aUtakaposhushwa, utanena kutoka ardhini,
utamumunya maneno yako kutoka mavumbini.
Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu,
utanong ľona maneno yako toka mavumbini.
Copyright information for SwhNEN