Isaiah 33:9

9 aArdhi inaomboleza
Au: Ardhi inakauka.
na kuchakaa,
Lebanoni imeaibika na kunyauka,
Sharoni ni kama Araba,
nayo Bashani na Karmeli
wanapukutisha majani yao.
Copyright information for SwhNEN