Isaiah 48:21

21 aHawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani;
alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao;
akapasua mwamba
na maji yakatoka kwa nguvu.
Copyright information for SwhNEN