Isaiah 5:10

10 aShamba la mizabibu la eka kumi
litatoa bathi
Bathi moja ni sawa na lita 22.
moja ya divai,
na homeri
Homeri moja ni sawa na lita 220.
ya mbegu zilizopandwa
itatoa efa
Efa moja ni sawa na lita 22.
moja tu ya nafaka.”
Copyright information for SwhNEN