Isaiah 60:22

22 aAliye mdogo kwenu atakuwa elfu,
mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu.
Mimi ndimi Bwana;
katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”
Copyright information for SwhNEN