Jeremiah 18:17

17 aKama upepo utokao mashariki,
nitawatawanya mbele ya adui zao;
nitawapa kisogo wala sio uso,
katika siku ya maafa yao.”
Copyright information for SwhNEN