Jeremiah 18:21

21 aKwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa;
uwaache wauawe kwa makali ya upanga.
Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane;
waume wao wauawe,
nao vijana wao waume
wachinjwe kwa upanga vitani.
Copyright information for SwhNEN