Jeremiah 21:12

12 aEwe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo:

“ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi,
mwokoeni mikononi mwa mdhalimu
yeye aliyetekwa nyara,
la sivyo ghadhabu yangu italipuka
na kuwaka kama moto
kwa sababu ya uovu mlioufanya:
itawaka na hakuna wa kuizima.
Copyright information for SwhNEN