Jeremiah 22:20


20 a“Panda Lebanoni ukapige kelele,
sauti yako na isikike huko Bashani,
piga kelele toka Abarimu,
kwa kuwa wote waliojiunga nawe wameangamizwa.
Copyright information for SwhNEN