Jeremiah 23:6

6 aKatika siku zake, Yuda ataokolewa
na Israeli ataishi salama.
Hili ndilo jina atakaloitwa:
Bwana Haki Yetu.
Copyright information for SwhNEN