Jeremiah 24:6

6 aMacho yangu yatakuwa juu yao kwa ajili ya kuwapatia mema, nami nitawarudisha tena katika nchi hii. Nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawang╩╝oa,
Copyright information for SwhNEN