Jeremiah 25:15

Kikombe Cha Ghadhabu Ya Mungu

15 aHili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, aliloniambia: “Chukua kutoka mkononi mwangu kikombe hiki kilichojaa divai ya ghadhabu yangu, na kuyanywesha mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.
Copyright information for SwhNEN