Jeremiah 38:1

Yeremia Atupwa Kwenye Kisima

1 aShefatia mwana wa Matani, na Gedalia mwana wa Pashuri, na Yehukali mwana wa Shelemia, na Pashuri mwana wa Malkiya wakasikia kile Yeremia alichokuwa akiwaambia watu wote wakati aliposema,
Copyright information for SwhNEN