Jeremiah 48:28

28 aOndokeni kwenye miji yenu, mkaishi katikati ya miamba,
enyi mnaoishi Moabu.
Kuweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake
kwenye mdomo wa pango.
Copyright information for SwhNEN