Jeremiah 48:35

35 aNitakomesha wale wote katika Moabu
watoao sadaka mahali pa juu,
na kufukiza uvumba kwa miungu yao,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN