Jeremiah 48:38

38 aJuu ya mapaa yote katika Moabu
na katika viwanja
hakuna kitu chochote isipokuwa maombolezo,
kwa kuwa nimemvunja Moabu
kama gudulia ambalo hakuna mtu yeyote anayelitaka,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN