Jeremiah 49:28

Ujumbe Kuhusu Kedari Na Hazori

28 aKuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia:

Hili ndilo asemalo Bwana:

“Inuka, ushambulie Kedari
na kuwaangamiza watu wa mashariki.
Copyright information for SwhNEN