Jeremiah 5:31

31 aManabii wanatabiri uongo,
makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe,
nao watu wangu wanapenda hivyo.
Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Copyright information for SwhNEN