Jeremiah 50:33

33 aHili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote:

“Watu wa Israeli wameonewa,
nao watu wa Yuda pia.
Wote waliowateka wamewashikilia sana,
wanakataa kuwaachia waende.
Copyright information for SwhNEN