Jeremiah 8:16

16 aMkoromo wa farasi za adui
umesikika kuanzia Dani,
kwa mlio wa madume yao ya farasi,
nchi yote inatetemeka.
Wamekuja kuangamiza nchi na vyote vilivyomo,
mji na wote waishio ndani yake.”
Copyright information for SwhNEN