Job 14:13-14


13 a“Laiti kama ungenificha kaburini,
Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.

na kunisitiri hadi hasira yako ipite!
Laiti ungeniwekea wakati,
na kisha ukanikumbuka!
14 cJe, kama mtu akifa, aweza kuishi tena?
Siku zote za kazi zangu ngumu
nitangojea kufanywa upya kwangu.
Copyright information for SwhNEN