John 1:4-9

4 aNdani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 bNuru hung╩╝aa gizani nalo giza halikuishinda.

6 cAlikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 dAlikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8 eYeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. 9 fKwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.

Copyright information for SwhNEN