Leviticus 19:36

36 aTumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa
Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu.
halali, na hini
Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika.
halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.

Copyright information for SwhNEN