Leviticus 21:1

Sheria Kwa Ajili Ya Makuhani

1 a Bwana akamwambia Mose, “Sema na makuhani, wana wa Aroni, uwaambie: ‘Kamwe kuhani asijitie unajisi kwa utaratibu wa kiibada kwa ajili ya mtu wake yeyote anayekufa,
Copyright information for SwhNEN