Luke 1:26

Kuzaliwa Kwa Yesu Kwatabiriwa

26 aMwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Gabrieli aende Galilaya katika mji wa Nazareti,
Copyright information for SwhNEN