Luke 3:19-20

19 aLakini Yohana alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya, 20 bHerode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani.

Copyright information for SwhNEN