Luke 4:38

Yesu Awaponya Wengi

(Mathayo 8:14-17; Marko 1:29-34)

38 aYesu akatoka katika sinagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Basi huko alimkuta mama mkwe wa Simoni akiwa ameshikwa na homa kali, nao wakamwomba Yesu amsaidie.
Copyright information for SwhNEN