Luke 6:17

Yesu Aponya Wengi

(Mathayo 4:23-25)

17 aAkashuka pamoja nao, akasimama mahali penye uwanja tambarare. Hapo palikuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wake na umati mkubwa wa watu kutoka sehemu zote za Uyahudi, kutoka Yerusalemu, na kutoka pwani ya Tiro na Sidoni.
Copyright information for SwhNEN