Matthew 11:25

Hakuna Amjuaye Baba Ila Mwana

(Luka 10:21-22)

25 aWakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
Copyright information for SwhNEN