Matthew 15:39

39Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.
Magadani ni Magdala, mji wa Galilaya, kama kilomita 16 kusini mwa Kapernaumu.


Copyright information for SwhNEN