Matthew 2:13

Yosefu, Maria Na Mtoto Yesu Wakimbilia Misri

13 aWalipokwisha kwenda zao, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto akamwambia, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mkimbilie Misri. Kaeni huko mpaka nitakapowaambia, kwa maana Herode anataka kumtafuta huyu mtoto ili amuue.”

Copyright information for SwhNEN