Matthew 3:11

11 a“Mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba. Lakini nyuma yangu anakuja yeye aliye na uwezo kuliko mimi, ambaye sistahili hata kuvichukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu
…kwa Roho Mtakatifu hapa ina maana ya katika Roho Mtakatifu.
na kwa moto.
Copyright information for SwhNEN