Matthew 4:23

Yesu Ahubiri Na Kuponya Wagonjwa

(Luka 6:17-19)

23 aYesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Copyright information for SwhNEN