Matthew 5:22

22 aLakini mimi nawaambia kwamba, yeyote atakayemkasirikia ndugu yake, atapaswa hukumu. Tena, yeyote atakayemwambia ndugu yake, ‘Raka,’
Raka ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni dharau au dhihaka ya hali ya juu.
atapaswa kujibu kwa Baraza la Wayahudi.
Baraza la Wayahudi lilikuwa kundi kuu kabisa la utawala wa Wayahudi lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu.
Lakini yeyote atakayesema ‘Wewe mpumbavu!’ atapaswa hukumu ya moto wa jehanamu.

Copyright information for SwhNEN