Matthew 8:14-15

Yesu Aponya Wengi

(Marko 1:29-34; Luka 4:38-41)

14 aYesu alipoingia nyumbani kwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa. 15 bAkamgusa mkono wake na homa ikamwacha, naye akainuka na kuanza kumhudumia.

Copyright information for SwhNEN