Nehemiah 11:1

Wakazi Wapya Wa Yerusalemu

1 aBasi viongozi wa watu walikaa Yerusalemu, nao watu wale wengine walipiga kura ili kuleta mtu mmoja kati ya watu kumi aje kuishi Yerusalemu, mji mtakatifu, nao wengine tisa waliobaki wakae katika miji yao wenyewe.
Copyright information for SwhNEN