Numbers 26:20

20 aWazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa:

kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela;
kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi;
kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera.
Copyright information for SwhNEN