Psalms 107:42

42 aWanyofu wataona na kufurahi,
lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
Copyright information for SwhNEN