Psalms 140:5

5 aWenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa,
wametandaza kamba za wavu wao,
wametega mitego kwenye njia yangu.
Copyright information for SwhNEN