Psalms 18:14

14 aAliipiga mishale yake na kutawanya adui,
naam, umeme mwingi wa radi na kuwafukuza.
Copyright information for SwhNEN