Psalms 19:9

9 aKumcha Bwana ni utakatifu,
nako kwadumu milele.
Amri za Bwana ni za hakika,
nazo zina haki.
Copyright information for SwhNEN