Psalms 23:6

6 aHakika wema na upendo vitanifuata
siku zote za maisha yangu,
nami nitakaa nyumbani mwa Bwana
milele.
Copyright information for SwhNEN