Psalms 43:3

3 aTuma hima nuru yako na kweli yako
na viniongoze;
vinilete mpaka mlima wako mtakatifu,
mpaka mahali unapoishi.
Copyright information for SwhNEN