Psalms 69:16

16 aEe Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako;
kwa huruma zako nyingi unigeukie.
Copyright information for SwhNEN