Psalms 71:20

20 aIngawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu,
utanihuisha tena,
kutoka vilindi vya dunia
utaniinua tena.
Copyright information for SwhNEN