Psalms 78:13

13 aAliigawanya bahari akawapitisha,
alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Copyright information for SwhNEN